Tjenesani Ntungakwa wa Zimbabwe | Matukio ya Afrika | DW | 23.05.2013
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Tjenesani Ntungakwa wa Zimbabwe

Bwana huyu mwenye umri wa miaka 44 ni mtaalamu wa kisayansi katika mji mkuu wa Zimbabwe, Harare. Anauwekea Umoja wa Afrika matumaini makubwa.

Goodwills Masimirembwa, head of the Zimbabwe Mining Development Corporation (ZMDC) Copyright: DW/Columbus Mavhunga 12 und 13.11. 2012

Zimbabwe Internationale Konferenz zur Diamanten Produktion Goodwills Masimirembwa

"Ninauangalia Umoja wa Afrika kama jumuia mpya ya matumaini mema. Umechangia kutufanya sisi nchini Zimbabwe tuwe na serikali ya umoja wa taifa. Hata katika vita vya Kongo ambavyo Zimbabwe, Uganda, Rwanda na Burundi zilihusika, Umoja wa Afrika umewajibika sana. Mimi, kama Mzimbabwe, ninaamini Umoja wa Afrika unaweza kufanikiwa pia katika maeneo ya mizozo mfano wa Somalia."