Timu ya soka la Ufukweni Tanzania yaanza vibaya COSAFA | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 26.09.2022

Tembelea tovuti mpya ya DW

Tazama toleo la beta la dw.com. Bado hatujamaliza! Maoni yako yanaweza kutusaidia kuiboresha.

  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Timu ya soka la Ufukweni Tanzania yaanza vibaya COSAFA

Timu ya taifa ya soka la ufukweni imefungua vibaya pazia la michuano ya COSAFA. Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars inaangazia mchezo wake wa pili wa kirafiki ulio katika kalenda ya Shirikisho la Soka la Kimataifa, FIFA. Sikiliza ripoti ya Mhindi Joseph.