1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

TikTok na mswaki wa Bluetooth

Yusra Abdallah Buwayhid12 Machi 2020

Katika Sema Uvume, Yusra Buwayhid atakufahamisha jinsi unavyoweza kufaidika na App ya TikTok na pia atakutambulisha kwa miswaki inayounganishwa kwa teknolojia ya Bluetooth kuhakikisha unakuwa na afya bora ya kinywa.

https://p.dw.com/p/3ZGrd