TIBILIS:Urusi yatuhumiwa kuishambulia kwa mabomu Georgia | Habari za Ulimwengu | DW | 07.08.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

TIBILIS:Urusi yatuhumiwa kuishambulia kwa mabomu Georgia

Georgea imesema kuwa ndege mbili za kivita za Urusi zimeingia katika anga yake na kuangusha mabomu ambayo hata hivyo hayakulipuka.

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Georgia Shota Ustiashwili amesema kuwa uvamizi huo ulitokea jana jioni kwa saa za Georgia wakati ndege hizo zilipoingia na kuangusha mabomu katika kijiji cha Tsitelubani kwenye mkoa wa Gori.

Hata hivyo Urusi imekanusha taarifa hizo.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com