1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

TEMESA na SUMATRA zavunjwa

Lilian Mtono
24 Septemba 2018

Tanzania ingali inaomboleza kufuatia ajali ya feri MV Nyerere iliyosababisha vifo vya watu 224. Serikali pia imechukua hatua kadhaa ikiwemo kuunda tume kuchunguza ajali hiyo. John Juma alizungumza na Mbunge wa eneo la msiba huo Joseph Mkundi.

https://p.dw.com/p/35P2S