1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Televisheni ya digitali nchini DRC

12 Novemba 2015

Shirika la kimataifa la ITU liliiweka tarehe 17 ya mwezi wa Juni kuwa siku ya mataifa yote ya Afrika kuhamia katika mfumo wa digitali lakini nchi nyingi zimejikuta katika hali ya kutokuwa tayari.

https://p.dw.com/p/1H4ea
DW Africa on the Move Fernseher
Picha: DW

Televisheni ya digitali nchini DRC

Nyingi ya nchi za kanda ya Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara bado hazikujiandaa kuanza mfumo huo. Hata nchi ambazo kiuchumi ziko imara na mfumo wake wa mawasiliano ya televisheni kuonekana kuwa bora kama Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo zimekabiliwa na matatizo.