1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Teknolojia ya Artificial Intelligence barani Afrika

Yusra Buwayhid
23 Aprili 2019

Google imefungua maabara yake ya kwanza barani Afrika ya Artificial Intelligence ambayo ni teknolojia inayoiwezesha mashine kama vile kompyuta kufanya maamuzi sawa na ubongo wa binaadamu. Lakini vipi teknolojia hiyo inaweza kumnufaisha Mwafrika katika maisha ya kila siku? Ungana na Yusra Buwayhid katika makala ya Sema Uvume

https://p.dw.com/p/3HFwV