TEHRAN:Bunge laidhinisha uteuzi wa mawaziri wa Mafuta na Viwanda | Habari za Ulimwengu | DW | 14.11.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

TEHRAN:Bunge laidhinisha uteuzi wa mawaziri wa Mafuta na Viwanda

Bunge nchini Iran linaidhinisha uteuzi wa mawaziri wa Mafuta na Viwanda uliofanywa na Rais Mahmoud Ahmedinejad hatua inayodhaniwa kumuongezea madaraka katika usimamizi wa uchumi nchini humo.Bunge hilo linaidhinisha uteuzi wa Gholam Hossein Nozari waziri mpya wa Mafuta vilevile Ali Akbar Mehrabian waziri mpya wa Viwanda.Viongozi hao walikuwa wanakaimu nafasi hizo tangu mwezi Agosti.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com