1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

TCRA yatoa ufafanuzi taarifa za kuvifungia vituo vya nje

Sudi Mnette11 Agosti 2020

Mamlaka ya Mawasiliano ya Tanzania TCRA imetolea ufafanuzi taarifa iliyozagaa nchini humo ya kuzuiwa kwa vituo vya ndani ya taifa hilo vya utangazaji kurusha matangazo ya vituo vya nje. Mhandisi Andrew Kisaka ni Mkuu wa Kitengo cha Leseni za Mawasiliano TCRA na anasema.

https://p.dw.com/p/3gnxJ