TBILISI: Watu watatu wauwawa kwenye mripuko wa gesi | Habari za Ulimwengu | DW | 27.10.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

TBILISI: Watu watatu wauwawa kwenye mripuko wa gesi

Watu watatu wameuwawa kwenye mripuko kwenye kituo cha gesi ya oxygen katika mji mkuu wa Georgia, Tbilisi. Watu wengine wawili wamejeruhiwa vibaya katika mripuko huo uliokiharibu kabisa kituo hicho.

Msemaji wa idara inayohusika na shughuli za uokozi amesema inahofiwa huenda maiti mbili au tatu zikawa zimefunikwa chini ya vifusi. Mripuko huo umeelezwa kuwa ajali.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com