1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tatizo la uhaba wa nyumba kwa vijana Windhoek Namibia

13 Mei 2019

Bila shaka ungependa nyumbani kwako uwe na umeme, maji na choo. Lakini sivyo hali ilivyo kwa wakaazi wengi wa Windhoek ambao nusu ya idadi jumla yao wanaishi sehemu za mabanda kutokana na hali ngumu ya maisha.

https://p.dw.com/p/3IQUP