1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tatizo la maji Rwanda

6 Mei 2020

Nusu ya idadi jumla ya raia wa Rwanda ndio huweza kupata maji safi. Hatari ya maambukizi ya maradhi kutokana na matumizi ya maji machafu ni kubwa. Hata hivyo mwanadada mmoja mjasiriamali amejitokeza kupambana na hali hiyo. Tazama mengi zaidi kwenye Vijana Mubashara 77Asilimia

https://p.dw.com/p/3bqrY