1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tatizo la kushuka kwa Kizazi na madhara yake

Hawa Bihoga8 Agosti 2018

Zaidi ya asilimia hamsini ya wanawake walio wahi kuzaa wanatajwa kukabiliwa na tatizo la kushuka kwa kizazi, ambalo limefumbatwa na ufaragha mkubwa hasa katika mataifa yanayoendelea ambapo wanawake inakuwa si rahisi kuweza kuelezea tatizo hilo kwa watu wao wa karibu ambao wangeweza kutoa msaada wa mapema.Mwandaaji na msimulizi ni Hawa Bihoga.

https://p.dw.com/p/32nz1