1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tarehe-28.01.2018- Matangazo ya asubuhi

Isaac Gamba
28 Januari 2018

Tuliyo nayo ni pamoja na Trump asema yuko tayari kusaini Marekani kurejea katika mkataba wa Paris iwapo utafanyiwa maboresho// Watu 95 wauawa katika shambulizi la kujitoa muhanga mjini Kabul//Serikali ya Uhispania yashinda rufaa dhidi ya bunge la Catalonia

https://p.dw.com/p/2reKa