Tanzania yamkumbuka Mwalimu Nyerere | Matukio ya Afrika | DW | 14.10.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Baba wa Taifa

Tanzania yamkumbuka Mwalimu Nyerere

Mwalimu Nyerere alifariki dunia Oktoba 14, 1999, akiwa Uingereza alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na saratani ya damu. Watanzania wanaadhimisha siku yake kwa mapumziko na mikutano yenye lengo la kumuenzi.

Sikiliza sauti 03:37

Mwalimu Azaveli Lwaitama katika mahojiano

Sudi Mnette amezungumza na Mwalimu Azaveli Lwaitama, mhadhiri mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambaye kwanza anaeleza siku hii inamkumbusha nini.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

IJUE DW

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com