1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania yajizatiti kudhibiti Ebola

Admin.WagnerD12 Agosti 2014

Tanzania imeandaa mikakati madhubuti ya kuhakikisha inaudhibiti ugonjwa wa Ebola miongoni mwa wageni wanaoingia nchini humo. Tayari Ugonjwa huo mpaka sasa umeathiri mataifa kadhaa ya Afrika.

https://p.dw.com/p/1CseE
Dr. Seif Seleman Rashid
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii wa Tanzania Dk. Seif Rashid akizungumza na mwandishi wa DW Hawa BihogaPicha: DW/H. Bihoga

Katika mazungumzo maalum na DW waziri wa afya na ustawi wa jamii nchini humo dokta Seif Rashid amesema hadi sasa Tanzania haijapata mtu mwenye kuonesha dalili za ugonjwa huo wa ebola. Mwenzangu Hawa Bihoga kutoka jijini Dar es salaam amezungumza naye juu ya mikakati ya serikali kuudhibiti ugonjwa huo.

Mwandishi: Hawa Bihoga
Mhariri: Saumu Yusuf