Tanzania yaamuru kampuni za madini kufungua akaunti nchini humo | Media Center | DW | 24.05.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Tanzania yaamuru kampuni za madini kufungua akaunti nchini humo

Tanzania imeziamuru kampuni za kimataifa zinazojihusisha na kuchimba madini kufungua akaunti za benki nchini humo, lengo likiwa ni kuzifatilia fedha zao kama mojawapo ya njia ambayo serikali imeianzisha, ili kuzuia kuhamisha fedha kutoka tanzania kinyume cha sheria na kuhakikisha Tanzania inanufaika na rasilimali zake za asili. Sikiliza mahojiano kati ya Grace Kabogo na Gabriel Mwang'oda.

Sikiliza sauti 03:07