Tanzania: Vyombo vya habari vimeelimisha wapiga kura | Matukio ya Kisiasa | DW | 27.10.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Tanzania: Vyombo vya habari vimeelimisha wapiga kura

Vyombo vya habari vya Tanzania vimeonekana kuzingatia maadili katika kuripoti wakati wa uchaguzi mkuu. DW imezungumza na Khalifa Sadik, mchambuzi wa masuala ya utawala bora kutoka Tanzania.

Sikiliza sauti 04:35

Sikiliza mahojiano kati ya Grace Kabogo na Khalifa Sadik

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com