Tanzania: UKAWA kushirikiana pamoja | Matukio ya Afrika | DW | 28.10.2014
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Tanzania: UKAWA kushirikiana pamoja

Nchini Tanzania vyama vinavyounda kundi la UKAWA, linalovijumuisha vyama vya upinzani Chadema, NCCR Mageuzi, CUF na NLD vimesaini makubaliano ya kushirikiana ikiwa ni pamoja na kusimamisha mgombea mmoja katika chaguzi.

Kutoka Dar es Salaam Sudi Mnette amezungumza na mwenyekiti mwenza wa umoja huo na Kiongozi wa Chadema ,Freeman Mbowe na kwanza alimuuliza kwanini wamefika uamuzi huo hivi sasa ? Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri: Mohammed Abdul-rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada