Tanzania: Tume ya kukusanya maoni ya Katiba mpya imeapishwa | Matukio ya Afrika | DW | 13.04.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Tanzania: Tume ya kukusanya maoni ya Katiba mpya imeapishwa

Hatimaye tume maalumu kwa ajili ya kukusanya maoni ya wananchi wa Tanzania juu ya katiba mpya imeapishwa leo na rais jakaya Kikwete.

Rais wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete

Rais wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete

Kuapishwa kwa wajumbe wa tume hiyo ilioteuliwa sasa kunafungua safari mpya kwa taifa hilo kuelekea kwenye katiba mpya.

Kutoka Dar es salaam, mwandishi wetu George Njogopa na taarifa zaidi.

(Kusikiliza taarifa hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: George Njogopa

Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada