1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Sheria ya ndoa inachochea unyanyasaji wa kingono kwa watoto

Anuary Mkama18 Machi 2019

Wanaharakati wa masuala ya jinsia na watoto nchini Tanzania wamekiri kuwa sheria ya ndoa ya mwaka 1971 inachochea unyanyasaji wa kingono kwa watoto hususan wale wa kike.

https://p.dw.com/p/3FEWq