1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania na Afrika zinaweza kudhibiti matumizi ya kemikali?

Josephine Karema
29 Septemba 2023

Kongamano kubwa la kimataifa linaloratibiwa na Umoja wa Mataifa kuangazia juhudi za mataifa za kudhibiti matumizi ya kemikali linaendelea mjini Bonn nchini Ujerumani. Mataifa mbalimbali yakiwemo ya bara la Afrika yanashiriki katika mkutano huo. Ujumbe wa Tanzania, unaoongozwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dokta Grace Magembe ambaye amezungumza na DW.

https://p.dw.com/p/4WyrP