Tanzania: Mtandao wa wafanyabiashara Mtwara | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 27.11.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Tanzania: Mtandao wa wafanyabiashara Mtwara

Hebu fikiria maisha ya sasa yangekuwaje bila teknolojia? Kwa hakika mapinduzi ya teknolojia yameleta mabadiliko makubwa katika maisha ya kila siku. Katika makala ya Wanawake na Maendeleo Salma Mkalibala anamuangazia Hellen Mchomvu, mwanamke aliyeanzisha mtandao wa wafanyabiashara kwa kuwakutanisha wauzaji na wanunuzi wa bidhaa kupitia mitandao ya kijamii.

Sikiliza sauti 09:48