Tanzania: Miaka 48 ya Muungano | Matukio ya Afrika | DW | 26.04.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Tanzania: Miaka 48 ya Muungano

Watanzania wanaadhimisha miaka 48 ya muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar uliounda Tanzania.

Tanzania yasherehekea miaka 48 ya muungano

Tanzania yasherehekea miaka 48 ya muungano

Maadhimisho haya yamekuja wakati ambapo manunguniko juu ya muungano huo yakionekana kuongezeka katika kipindi ambacho taifa hilo liko kwenye mchakato wa kuandaa katiba mpya. Saumu Mwasimba amezungumza na Dr Benson Bana mhadhiri wa chuo kikuu cha Daresalaam na kwanza anaanza kuelezea tija za muungano huo.

(Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Saumu Mwasimba

Mhariri: Mohamed Abdulrahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada