Tanzania: Mahojiano na meneja wa kampeni za uchaguzi wa chama cha CCM | Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili | DW | 28.10.2010
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Timu Yetu

Tanzania: Mahojiano na meneja wa kampeni za uchaguzi wa chama cha CCM

Joto la kabla ya uchaguzi mkuu wa urais, bunge na madiwani huko Tanzania likipanda, ikiwa ni siku tatu zimebakia kabla ya siku ya uchaguzi, jumapili ijayo.

Watanzania watarajiwa kupiga kura hapo tarehe 31.Oktoba 2010

Watanzania watarajiwa kupiga kura hapo tarehe 31.Oktoba 2010

Wakuu wa kampeni za uchaguzi wa vyama mbali mbali katika uchaguzi huo wanatathmini vipi mambo yalivowaendea hadi sasa. Jee kunahitaji kutiwa gesi zaidi ili kufikia lengo la ushindi? Othman Miraji alimpigia simu Abdulrahman Kinana, meneja mkuu wa kampeni kutoka chama tawala cha CCM. Anajihisi vipi?

Mwandishi: Othman Miraji

Mpitiaji: Josephat Charo

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com