Tanzania: Mahojiano na Bw.James Mbatia wa NCCR Mageuzi | Matukio ya Kisiasa | DW | 12.03.2010
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Tanzania: Mahojiano na Bw.James Mbatia wa NCCR Mageuzi

Mwenykeiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi cha Tanzania, James Mbatia, alifanya mkutano na waandishi wa habari mjini Dar es salaam.

Mkutano huo ulijikita juu ya madai ya chama chake juu ya kuzagaa rushwa na ufisadi ndani ya chama tawala cha CCM cha nchi hiyo. Othman Miraji alimpigia simu Bwana Mbatia kutaka ufafanuzi zaidi juu ya madai yake hayo, lakini  la umuhimu pia ni juu ya azma yake ya kutopigania urais wa Tanzania katika uchaguzi ujao wa Oktoba mwaka huu, ila tu ni kwamba mara hii atashindania ubunge.  Mwanasiasa huyo aliiambia hivi Deutsche Welle...

Mwandisihi: Miraji Othman

Imepitiwa na:  Hamidou, Oummilkheir

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com