Tanzania: Kusajiliwa kwa chama kipya cha Alliance for Democratic Change | Matukio ya Afrika | DW | 26.03.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Tanzania: Kusajiliwa kwa chama kipya cha Alliance for Democratic Change

Nchini Tanzania, leo( 26.03.2012) chama cha kisiasa, Alliance for Democratic Change, kinatarajiwa kusajiliwa wakati mwanasiasa wa Chama cha CHADEMA, Zitto Kabwe,akinukuliwa kutangaza nia ya kugombea urais hapo 2015.

Wanasiasa wa vyama vya upinzani Ibrahim Lipumba na James Mbatia

Wanasiasa wa vyama vya upinzani Ibrahim Lipumba na James Mbatia

Mambo yote mawili yanaonesha mwamko mpya wa kisiasa katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki. Amina Abubakar amezungumza na mchambuzi wa masuala ya kisiasa kutoka Tanzania, Deusi Kibamba na kwanza alitaka kujua umuhimu wa kusajiliwa kwa chama kipya cha Alliance for Democratic Change ADC hivi sasa:

Mahojiano: Amina Abubakar/Deusi Kibamba

Mhariri: Saumu Yusuf

Sauti na Vidio Kuhusu Mada