1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania kuwachukulia hatua wanaokiuka sheria za uchaguzi

Njogopa (Hon)30 Septemba 2020

Jeshi la polisi nchini Tanzania limeonya kuwa kuanzia sasa litaanza kuchukua hatua kali kwa viongozi wa siasa wanaokiuka sheria za uchaguzi kama vile kutofuata ratiba za kampeni na kutoa lugha za uchochezi.

https://p.dw.com/p/3jDB1