Tanzania: Jee Zanzibar ni nchi? Mdahala unaendelea. | Matukio ya Kisiasa | DW | 29.07.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Tanzania: Jee Zanzibar ni nchi? Mdahala unaendelea.

Jee Zanzibar ni dola?

Ramani ya Tanzania, vikiwemo Visiwa vya Zanzibar

Ramani ya Tanzania, vikiwemo Visiwa vya Zanzibar


Mabishano huko Tanzania yanaendelea kuhusu suala kama Zanzibar ni nchi ama si nchi. Wanasiasa mbali mbali, wasomi na wananchi wa kawaida katika pande zote mbili za Jamhuri hiyo ya Muungano wametoa maoni yao yanayotafautiana.

Othman Miraji alimtafuta kwa njia ya simu mtu ambaye alikuwa katibu wa mwanzo wa Baraza la Mapinduzi la Zanzibar punde baada ya mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964, Bwana Salim Rashid. Yeye pia alikuwa shahidi muhimu wakati wa kuundwa Muungano wa Tanzania baina ya marais wa Tanganyika na Zanzibar marehemu Mwalimu Julius Nyerere na Abedi Karume.

Salim Rashid anaelezea hivi kuhusu mabishano ya sasa, zaidi ya miaka 44 baada ya mapinduzi na kuundwa muungano wa Tanzania.
Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com