1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Hotuba ya Rais Kikwete

1 Agosti 2014

Imebakia siku nne vikao vya Bunge la Katiba nchini Tanzania kuanza tena baada ya kuahirishwa Aprili 25 kupisha bunge la bajeti la taifa hilo.

https://p.dw.com/p/1CnL1
Rais Jakaya Mrisho Kikwete wa Tanzania
Rais Jakaya Mrisho Kikwete wa TanzaniaPicha: Reuters

Jana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete alizungumzia ngwe ya pili ya vikao hivyo ambayo intarajiwa kuanza tarehe 5 mwezi huu na kuhimiza kundi la wabunge lililosusia vikao hivyo lirejee bungeni. Kutoka Dar es Salaam,Sudi Mnette iamezungumza na mchambuzi wa siasa Gwandumi Mwakatobe kwanza ailitaka kujua anaizungumziaje hotuba ya Rais Kikwete. Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri: Mohamed Khelef