Tanzania: Chaguzi za ndani ya chama cha CCM | Matukio ya Afrika | DW | 01.10.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Tanzania: Chaguzi za ndani ya chama cha CCM

Chaguzi za nafasi tofauti ndani ya chama cha CCM Tanzania, zimeanza kupamba moto huku kukiwa na mabadiliko na vuta nikuvute katika kinyanganyiro ambacho kitatoa sura halisi ya mwelekeo wa chama katika uchaguzi wa 2015.

Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete

Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete

Kwa njia ya simu Sudi Mnette alizungumza na Mkuu wa Idara ya Siasa, Taaluma na Utawala ya chuo kikuu cha Dar esalaam Dk.Mohammed Bakari ambapo Kwanza anazungumzia matokeo ya sasa katika kuwania nafasi ya ujumbe wa halmashauri kuu ya CCM, Taifa.

(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi Sudi Mnette

Mhariri Yusuf Saumu

Sauti na Vidio Kuhusu Mada