1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Sanaa

Tamasha la Sauti za Busara lazinduliwa visiwani Zanzibar

Sylvia Mwehozi
9 Februari 2018

Tamasha kubwa la muziki la sauti za busara linalofanyika visiwani Zanzibar, limezinduliwa ambapo wasanii wa muziki wa asili zaidi ya 40 wanashiriki tamasha hilo. Vidio na Yakub Talib. Papo kwa Papo 09.02.2018.

https://p.dw.com/p/2sOte