Takataka za mtu mwingine, Hazina kwa mwingine. | Media Center | DW | 15.11.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Takataka za mtu mwingine, Hazina kwa mwingine.

Dampo la Dandora ambalo ni kubwa zaidi Jijini Nairobi, na hapo maefu ya Wakenya hujipatia kipato. Wanasema "Takataka kwa mtu mwingine, mwingine kwake ni hazina". Video hii inaonyesha wanawake wanaouza nywele za bandia zilizotupwa kwenye dampo hilo, baada ya kuzifanyia maboresho.

Tazama vidio 01:57
Sasa moja kwa moja
dakika (0)