Taka za Plastiki ni lulu | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 14.07.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Taka za Plastiki ni lulu

Taasisi ya Ufundi na Sanaa ya Afri craft kutoka Dar es salaam, Tanzania inatumia fursa mabaki ya plastiki kutengeneza vifaa vya kuhifadhia maji ya kusafisha mikono kutokana na mabaki hayo

Tazama vidio 01:57