1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taifa Stars kukwaana na Madagascar

Josephat Charo
6 Septemba 2021

Timu ya soka ya taifa ya Tanzania itakabana koo na Madagascar (07.09.2021) katika mechi ya kufuzu kwa michuano ya kombe la dunia la kandanda nchini Qatar 2022.

https://p.dw.com/p/3zzVE