1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za ulimwengu 22.10.20

V2 / S12S22 Oktoba 2020

Waziri wa afya Ujerumani Jens Spahn apata virusi vya corona. Idara ya Ujasusi Marekani yadai kuwa Iran na Urusi zimejaribu kuingilia kati uchaguzi wa Marekani wa mwaka huu. Na Shirika la Kutetea Haki za Binadamu Amnesty International lasema waandamanaji 12 wauawa Nigeria.

https://p.dw.com/p/3kGIw