1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za ulimwengu 04.10.2020

V2 / S12S4 Oktoba 2020

Rais wa Marekani Donald Trump asema anaendelea vizuri kiafya akiwa bado hospitalini. Azerbaijan yadai kukamata miji na vijiji kadhaa katika mapigano na Armenia. Na, Washukiwa watatu wa mauaji ya kimbari Rwanda wakamatwa Ubelgiji.

https://p.dw.com/p/3jP26