1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaUkraine

Taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili: 25.01.2024

25 Januari 2024

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky atoa wito wa uchunguzi wa kimataifa kuhusu ajali ya ndege ya jeshi la Urusi, Uingereza yataka kubadilishana makombora na Ujerumani na Taifa Stars yatupwa nje ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON

https://p.dw.com/p/4be77