1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili: 24.10.2021

Tatu Karema
24 Oktoba 2021

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amtaka waziri wake wa mambo ya nje kuwatimua mabalozi wa nchi, serikali ya Uingereza yajaribu kuharakisha kasi ya mazungumzo kutatua utata wa kibiashara kati yake na Umoja wa Ulaya baada ya taifa hilo kujiondoa katika Umoja huo na Shirika la Human Rights Watch latoa wito kwa Umoja wa Mataifa kuishikinikiza Mali kuchunguza mauaji na kupotezwa kwa watu

https://p.dw.com/p/426pT