1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili: 01.08.2021

Tatu Karema
1 Agosti 2021

Rais wa Tunisia Kais Saied asema kutakuwa na maamuzi muhimu hivi karibuni, maelfu ya watu waandamana katika mji mkuu wa Ufaransa Paris dhidi ya pasi maalum kuhusu virusi vya corona na meli ya msaada ya Ocean Viking yawaokoa wahamiaji 196

https://p.dw.com/p/3yNVj