1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi. 8.12.2019

Tatu Karema
8 Desemba 2019

Ndege ya Israeli yatekeleza mashambulizi katika ukanda wa Gaza unaothibitiwa na kundi la Hamas, Iran yamuachilia mtafiti mmoja wa Marekani aliyeshtakiwa kwa upepelezi ili kubadilishana na mwanasayansi aliyepatikana na hatia ya ukiukaji wa vikwazo vya Marekani. na balozi wa Korea Kaskazini katika Umoja wa Mataifa asema mazungumzo ya nyuklia hayako tena katika meza ya mjadala na Marekani.

https://p.dw.com/p/3UP4N