1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi 29.07.2017

Yusra Buwayhid
29 Julai 2017

Miongoni mwa habari: rais wa Marekani Donald Trump amteuwa John Kelly kuwa mkuu mpya wa utumishi wa serikali. Mhamiaji aliyenyimwa hifadhi nchini Ujerumani alihusika na shambulio la kuchoma watu visu mjini Hamburg. Boko Haram yatoa picha ya mateka watatu wa timu ya kusaka mafuta iliyoishambulia mapema wiki hii.

https://p.dw.com/p/2hL1i