1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi 28.10.2018

Yusra Buwayhid
28 Oktoba 2018

Watu 11 wauawa katika shambulizi ndani ya hekalu la Wayahudi Marekani. Kansela wa Ujerumani Angela Merkel ataka kufanyike uchaguzi huru nchini Syria. Na, Raia wa Afghanistan wapiga kura Kandahar kuchagua bunge jipya.

https://p.dw.com/p/37H8q