1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi 28.07.2017

Yusra Buwayhid
28 Julai 2017

Wapalestina 50 wajeruhiwa katika machafuko mapya na polisi wa Israel karibu na msikiti wa al-Aqsa. Baraza la Seneti la Marekani lapitisha mswada wa kumzuia Rais Donald Trump kuiondolea vikwazo Urusi. Idadi ya vifo kutokana na shambulio la Boko Haram yafika watu 50 nchini Nigeria.

https://p.dw.com/p/2hHJF