1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi 27.05.2021

V2 / S12S27 Mei 2021

Rais wa Marekani Joe Biden ametoa wito wa kufanyika uchunguzi wa kina ili kutambua chanzo cha maambukizi ya virusi vya corona+++Qatar imesema itatoa msaada wa dola milioni 500 ili kuijenga tena Gaza+++Na Zaidi ya watu 150 wanahofiwa kuzama Nigeria baada ya boti kuzama.

https://p.dw.com/p/3u11o