Taarifa ya Habari za Asubuhi - 25.10.2019 | Media Center | DW | 25.10.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Taarifa ya Habari za Asubuhi - 25.10.2019

Rais Evo Morales wa Bolivia ameshinda uchaguzi mkuu uliofanyika Jumapili iliyopita. Marekani inalenga kutuma wanajeshi zaidi kulinda visima vya mafuta nchini Syria. Umoja wa Ulaya utajadili leo kurefushwa kwa muda wa Brexit.

Sikiliza sauti 08:00