1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za Asubuhi: 23.10.2020

Zainab Aziz
23 Oktoba 2020

Trump na Joe Biden walumbana kwenye mdahalo wa mwisho kabla ya uchaguzi juu ya Covid, China, Urusi na masuala ya kodi. Umoja wa Ulaya wawawekea vikwazo maafisa wawili wa ujasusi wa Urusi. Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari atoa wito wa kusimamisha maandamano.

https://p.dw.com/p/3kJYT