1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi 21.10.2018

Yusra Buwayhid
21 Oktoba 2018

Trump kujitoa katika makubaliano ya kinyuklia na Urusi. Ujerumani kusitisha mauzo ya silaha kwa Saudia kufuatia kifo cha Khashoggi. Waingereza wenye wasiwasi waandamana kudai kura ya pili ya Brexit.

https://p.dw.com/p/36tgd