Taarifa ya Habari za Asubuhi 20.08.2018 | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 20.08.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Taarifa ya Habari za Asubuhi 20.08.2018

serikali ya Italia yatishia kuwarejesha wakimbizi nchini Libya. Mji wa Lombok nchini Indonesia wakumbwa tena na matetemeko mawili makubwa ya ardhi. John Bolton mshauri wa masuala ya usalama wa Rais wa Marekani Donald Trump amekutana na waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu mjini Jerusalem.

Sikiliza sauti 08:00