1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari za Asubuhi 15.02.2019

Caro Robi
15 Februari 2019

Bunge la Marekani lapitisha mswada kuepusha mkwamo wa shughuli za Serikali huku Rais Donald Trump akiapa kutangaza hali ya hatari ili aweze kujenga ukuta mpakani//Rais wa Venezuela Nicolas Maduro asisitiza haachi madaraka na kuitaja misaada ya Marekani kuwa Makombo//Watoto 300 wanakufa kila siku katika nchi zenye mizozo.

https://p.dw.com/p/3DQDu